![]() |
Sio wote wanaoitwa wakristo wanaye KRISTO ndani yao.
Sio kila anayesema BWANA YESU asifiwe yuko safari ya mbinguni.
Kuokoka ni kujikana sio kufuata dini ya wazazi ambayo dini hiyo
haijawahi kuwasaidia wazazi wako maana dhambi bado zimewakamata hata
kama wana zaidi ya miaka 40 tangu waanze kuhudhuria kwenye dini.
Aliyeungwa na kahaba ni mwili mmoja na kahaba.
Jiulize swali hili;
Kama kuna watu wanasujudia sanamu wakati Biblia inakataza, Hata kama wanaitwa wakristo je wanajitambua na wanamtambua BWANA YESU?
biblia inasema " Au hamjui ya kuwa yeye aliyeungwa na kahaba
ni mwili mmoja naye? Maana asema, Wale
wawili watakuwa mwili mmoja. ” 1 Wakorintho
6:16.
Kama kuna watu ni mwili mmoja na kahaba Je unadhani walio mwili mmoja na sanamu watakosekana?
Kama watu ni mwili mmoja na kahaba je walio mwili mmoja na shetani watakosekana?
Unaloga na kanisani unaenda wewe ni mwili mmoja na shetani.
Unaiba na kanisani unaenda wewe ni mwili mmoja na shetani.
Sio wote waitao BWANA BWANA watakaoingia paradiso Bali watakatifu tu.

No comments:
Post a Comment